Kamati Yapendekeza Mbunge wa Chadema Asimamishwe Kuhudhuria Vikao vya Bunge
Kamati ya Haki Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Conchesta Rwamlaza asimamishwe kuhudhuria vikao vitatu vya mkutano wa saba unaoendelea wa Bunge la bajeti baada ya kumtia hatiani kwa kusema uongo.…
