Mfahamu Kanali Doumbouya Aliyeongoza Mapinduzi ya Guinea
RAIS wa guinea, Alfa Conde, mwenye umri wa miaka 83, alizuiliwa na wanajeshi wa kikosi maalum (GFS) jana Septemba 5, 2021 katika Ikulu ya nchi hiyo ikiwa ni saa kadhaa baada ya kuripotiwa kwa ufyatulianaji wa risasi karibu na makazi ya…
