Kanyasu: Waziri Taja Wabunge Waliokamatwa Wakivua Samaki – Video
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constatine Kanyasu amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina kutaja majina ya wabunge wambao wameshakamatwa wakifanya uvuvi haramu ama dhana zao haramu za uvuvi kinyume na sheria.
Kanyasu…
