Man United Yawasiliana na Conte Kumrithi Ole
Klabu ya Manchester United ambayo inatajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake, Ole Gunner Solskjaer baada ya kipigo cha 5-0 kutoka Liverpool jana, imewasiliana na Kocha Antonio Conte ili kukaa mezani na kuzungumza uwezekano wa…
