Balaa la Country Boy, Moni Centrozone Kwenye Jukwaa Moja – Video
Country Boy na Moni Centrozone wameonyesha balaa la hatari kwenye shoo waliyofanya pamoja usiku wa kuamkia tarehe 9 ambapo ulikuwa usiku wa JIPOOZE CONCERT ambapo Harmonize alialika wasanii mbali mbali kuungana naye kwenye tamasha hilo…
