Corona: Mwanri Aagiza Wanaofundisha ‘Tuisheni’ Wasakwe
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameagiza kuwasakwa kwa walimu ambao wamekuwa wakiwakusanya wanafunzi kwa ajili ya kufundisha tuisheni (masomo ya ziada) kwa kuwa wanapingana na kampeni ya kudhibiti na kupambana na ugonjwa wa Covid…
