Uingereza Imekuwa Nchi ya Kwanza Kuidhinisha Chanjo ya Aina Mbili za Corona
UINGEREZA ndiyo nchi ya kwanza kuidhinisha matumizi ya chanjo iliyoundwa kulenga aina mbili tofauti za virusi vya Corona ambavyo ni kirusi cha zamani (Uviko-19) na kirusi kipya cha Omicron inayojulikana kama "Spikevax bivalent…
