Madaktari 200 wa Cuba Watua Sauz Kupambana na Corona
Timu ya madaktari zaidi ya 200 wa Cuba imewasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi vya virusi vya corona. Afrika Kusini inaingia kwenye orodha ya nchi ambazo zitanufaika na juhudi za Cuba katika…
