Zijue Sababu za Mwanamme/Mwanamke Kusaliti
KWENYE ulimwengu wa mapenzi, hakuna kitu kibaya kama kusalitiwa na mpenzi wako tena unayempenda kwa dhati. Ni jambo linalouma sana kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kuchukua uamuzi wa kujiua kwa kunywa sumu na wengine…
