#GlobalMusic: Rock City Rapa COYO Amerudi Na Nyingine Mpya ‘ZIWAFIKIE’ – (Official…
Kwa wale wadau wote wa Hip Hop na wenye mapenzi ya dhati na Mwanza, ipokee nyingine mpya kutoka kwa Tetemesha Entertainment na Coyo.
Baada ya kuachia wimbo wake wa kwanza 'Njoo Baadae' mwishoni mwa mwaka jana, COYO rappa kutoka Rock…
