Suma Lee Afunguka Kifo cha CPWAA
ALIYEKUWA msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kisha kumrejea muumba wake kwa kujikita kwenye imani ya Dini ya Kiislam, Ismaili Saidi a.k.a Suma Lee ameelezea mateso aliyopitia rafiki na mwanamuziki mwenzake, Ilunga Khalifa almaarufu Cpwaa…
