Azam Yasajili wa kiungo Akitokea CR Belouizdad ya Algeria,
Klabu ya Azam imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Mamadou Samake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kwa miamba ya Algeria, CR Belouizdad.
Samake (24) raia wa Mali anafunga rasmi usajili wa Wanalambalamba hao kwenye…
