Simba wafungukia dili la Kagere na Zamalek
MKURUGENZI Mtendaji (C.E.O) wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amesema kuwa amepokea ofa nyingi kwa Meddie Kagere kuhitajika na klabu kubwa Afrika na Ulaya huku akiwataja Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Zamalek.
…
