Ozil Amwagia Sifa Ronaldo, Atoa Neno kwa Wachezaji wa Kizazi cha Sasa
NYOTA wa zamani wa klabu ya Real Madrid, Arsenal pamoja na Timu ya Taifa ya Ujerumani Mesut Ozil ameibuka na kusemam kuwa Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji mwenye mafanikio zaidi Duniani na kila shabiki wa soka duniani anapaswa kujisikia…
