Lynn: Chris Brown Ananikosesha Usingizi
MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki Bongo, Irene Hilary ‘Lynn’ ambaye aliwahi kusumbua kwenye vyombo vya habari akidaiwa kutoka na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka jinsi anavyomzimia kimahaba mwanamuziki wa…
