Yanga Yamalizana na Ngushi wa Mbeya Kwanza
CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga.
Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ametupia jumla ya mabao matatu na alikuwa ni kinara ndani ya Mbeya Kwanza.
Alikuwa ni mshambuliaji wa kwanza msimu wa…
