RONALDO MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUKWEPA KODI
Mwanasoka Cristiano Ronaldo leo amefika mahakamani huko Hispania kwa tuhuma ya kukwepa kodi.
Mwanasoka huyu anatuhumiwa kwa kukwepa kiasi cha €14.7m ($17.3m; £13.1m) tangu mwaka 2010 ambazo ni sawa na Tsh. Bilioni 38.
Hata hivyo,…
