Man U Yathibitisha Kukubaliana na Juve, Ronaldo Anarejea
KLABU ya Man United imemkaribisha aliyewahi kuwa nyota wao, Cristiano Ronaldo ambaye anatajwa kurejea tena kwa Mashetani Wekundu.
Manchester United imeripoti kuwa tayari Klabu ya Juventus wameipokea na kukubali ofa yao…
