Croatia Yaishinda Morocco na Kumaliza katika Nafasi ya Tatu Katika Kombe la Dunia
Doha, Qatar — Bao la dakika za mwisho la kipindi cha kwanza la Mislav Orsic lilitosha kumaliza pambano hilo. Mabao ya mapema ndani ya dakika tisa za kwanza ambapo kwa upande wa Croatia Josko Gvardiol aliandika bao katika dakika ya 7.…
