SEPTOL; DAWA KIBOKO KWA KUUA VIJIDUDU VYA MARADHI
Mazingira tunayoishi yamejawa na vitu vingi vinavyoweza kusababisha maambukizi ya vijidudu vya magonjwa mbalimbali, kama bakteria, fangasi, virusi na kadhalika ambayo huathiri afya ya binadamu.
Kuanzia asubuhi unapoamka,…
