House Girl Amcharukia Bosi Wake ‘Nilipokuja Sikuwa Nimekonda Hivi’
KUMEIBUKA fujo ya aina yake katika nyumba moja eneo la Mlolongo Machakos nchini Kenya baada ya dada wa kazi 'House Girl' kumkaripia kwa ukali bosi wake kwa kumpimia chakula.
Kisa hicho kimejiri baada ya msichana huyo ambaye…
