Dai Risiti Popote Utakapotoa Fedha Kupata Huduma
TUPO hapa kwa ajili ya kuiendeleza nchi yetu, kama tusipoiendeleza Tanzania, basi jua hakuna mtu atakayeweza kufanya hivyo, kama leo hautolia kwa ajili ya Tanzania, usifikiri kuna mtu atakuja kulia kutoka nchi nyingine.
Tunahitaji…
