Kiongozi wa Dini Anayeabudiwa Akabiliwa Na Kashfa Nzito – Video
Jina la Dalai Lama limekuwa gumzo duniani kote baada ya mtu huyo kukumbwa na kashfa nzito ya kulazimisha mtoto ambusu mdomoni na kumnyonya ulimi!
Mtu huyo Dunia inamfahamu kama Dalai Lama wa 14; kiongozi mkuu wa nchi iitwayo Tibet…
