VIDEO MPYA:Barnaba, Damian Soul Wamtukuza MuNGU ‘Asante’
Msanii toka Tanzania Barnaba Boy akiwa na Damian Soul wamerudisha shukrani kwa muumba wao kwenye video ya asante.
Asante inapatikana katika Extended Play (EP) ya dini waliyoiachia tarehe January 2018.
…
