Wakazi wa Dar wajitokeza kuchangia damu leo
Pichani juu wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar wakichangia damu leo katika Uwanja wa Karume.
Maofisa wa Damu Salama wakisimamia zoezi hilo.
WAKAZI wa viunga vya Jiji la Dar es Salaam leo wamejitokeza kwa wingi katika…
