BELLA: NITATAMBULISHA NGOMA MPYA DAR LIVE
KING Of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ kwa mara ya kwanza baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu amefunguka kuwa anatarajia kuachia ngoma mpya Septemba 3, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo…
