Mghana wa Simba Aweka Rekodi ya Pekee FA
Na Omary Mdose | CHAMPIONI
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Daniel Agyei, raia wa Ghana, ameweka rekodi ya kipekee kwenye michuano ya Kombe la FA baada ya kucheza dakika 360 ambazo ni sawa na mechi nne bila ya kuruhusu bao.
Agyei…
