Aunt: Sihitaji pedeshee, dansa wangu anatosha
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na mpenzi wake, Moze Iyobo.
MAKUBWA! Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa wapo watu wanamcheka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dansa (Moze Iyobo) lakini ni bora aendelee kuwa naye kuliko…
