Pichaz: Mastaa Walivyonoga Kwenye Video Launch ya SHUGA ya Mimi Mars
Tarehe 17 Februari 2017, Club Next Door iliyopo jijini Dar es salaam ilishuhudia uwepo wa mastaa kutoka Bongo Flevani ambao walijitokeza kushow love kwa mwanadada Merianne Mdee maarufu kama Mimi Mars ambaye kwa mara ya kwanza alikuwa…
