Kukamatwa Wasomali, Wahabeshi Dar si salama
Wakiwa katika hali ya sintofahamu.
Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI
DAR ES SALAAM: Hatari! Kufuatia kukamatwa kwa wahamiaji haramu wapatao 42 raia wa Somalia na Ethiopia, Kijitonyama jijini Dar, hofu imetanda miongoni mwa raia…
