JPM Amwaga Sh. Bilioni 9 Mwanza Kupanua Uwanja wa Ndege – Video
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kupeleka bilioni tisa mkoani Mwanza kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege.
Rais Magufuli ameagiza hayo leo Oktoba 30,…
