Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Rau – Video
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika Daraja la Rau, linalounganisha Moshi vijijini na Moshi mjini, linalotarajiwa kugharimu Sh900 milioni hadi kukamilika.
Daraja hilo ambalo lilisombwa na…
