Darasa maalum la Valentine’s Day!
KESHO ndiyo ile Siku ya Valentine. Ni siku maalum ya kuoneshana upendo. Iwe ni mama kwa mtoto, mtoto kwa mama, ndugu jamaa na marafiki. Kuonesha unamjali. Unamthamini.
Haimaanishi kwamba siku nyingine huwa hatuoneshani upendo lakini…
