Darasa muhimu kwa wagombanao faragha
MUNGU ni mwema kila wakati. Amenikutanisha tena wewe msomaji wangu kwa mara nyingine Jumamosi ya leo ili niweze kuwapa kile nilichokiandaa kwa ajili yako.
Niwashukuru wote ambao mmenitumia meseji na kunipigia mkipongeza mada ya wiki…
