Darassa Awaombea Kwa Mungu Waliotaka Kusababisha Ajali Wakicheza Wimbo Wake Kwenye Gari
RAPA anayekimbiza kwenye game ya Bongofleva kwa sasa, Darassa huku akifanya vyema na single ya wimbo wake mpya ‘Muziki’ ameamua kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ile video iliyosambaa mitandaoni ikionesha vijana wakicheza wimbo wake huku…
