The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

DARASSA

Dully: Darasa Nimemlea

NGULI wa muziki wa bongo fleva, Dully Sykes ameweka wazi mchango wake alioutoa kwenye muziki huo ikiwemo kulea vipaji vya wasanii kadhaa ambao wamegeuka nyota wakubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva akiwemo rapa  Sheriff Thabeet 'Darasa'.…

BILLNASS AMFUNGUKIA DARASA

MIONGONI mwa wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Hip Hip, Bongo ni William Lymo ‘Bill Nas’, ambaye kwa sasa anatamba na Wimbo wa Tagi Ubavu. Mbali na kusikika kwa ngoma kali, Bill Bas anatengeneza sana…

Wakali Hawa ‘Wamebuma’ 2017

MWAKA unazidi kuyoyoma, kwenye upande wa burudani hasa Tasnia ya Muziki, mbali na wanamuziki wenyewe kutathimini nini wamefanya kwa mwaka huu, wadau wa tasnia hiyo hatuwezi kuonekana tumetenda kosa la jinai kupitia nini ambacho…

Darassa Aonywa Kujiunga WCB

WAKATI kukiwa na tetesi za mkali wa muziki,  Shariff Thabeet anayetamba na kibao cha Muziki kutaka kusainiwa katika lebo maarufu ya WCB, mtabiri maarufu nchini, Hassan Yahya Hussein amemuonya kuwa akithubutu kufanya hivyo, amekwisha.…