MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA 2PAC ATUPWA JELA MIAKA 10
Darnell Brim mtuhumiwa wa mauwaji ya 2 Pac amehukumiwa miaka 10 jela baada ya kukutwa na kosa la kutaka kuuza Dawa za kulevya 'Cocain'.
Darnell Brim alikamatwa na madawa ya kulevya mwaka 2013, sasa amekiri kosa kuhukumiwa kifungo hicho.…
