DAS Ashauri Wanawake Nao Walipe Mahari
KATIBU Tawala wa wilaya ya Bukoba (DAS), mkoani Kagera, Kadole Kilugala, amesema kuwa kama suala la mahari ni lazima katika jamii yetu basi itolewe kwa pande zote mbili, yaani mwanamke apeleke zawadi upande wa mume na mume afanye…
