Mwinjilisti ‘Komando Wa Yesu’ Awaombea Wanahabari
Mwinjilisti, Daudi Mashimo 'Komando wa Yesu' akiwaombea waandishi wa habari leo.MWINJILISTI wa Kanisa la Calvary lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam, Daudi Mashimo ’Komando wa Yesu’, leo amewaombea wanahabari juu ya utendaji wao kazi wa…
