David Bekham Apigwa Marufuku Kuendesha Gari
MWANASOKA maarufu wa zamani wa Uingereza, David Beckham, amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi sita baada ya kupatikana akitumia simu wakati akiendesha gari. Kapteni huyo wa zamani wa England amekiri makosa.
…
