Jembe Jipya Yanga SC Laanza na Sakho
BEKI mpya wa kushoto wa Yanga, David Bryson, ameanza na bahati baada ya kutupia bao moja katika ushindi wa 3-1 dhidi ya DTB kwenye mchezo wa kirafiki.
Bao hilo alilolifunga huenda likawa kama salamu kwa watani wao wa jadi,…
