Tanzia: Kipa wa Kagera Sugar Afariki Dunia, Bugando Hospital
TASNIA ya mchezo wa soka hapa nchini imekumbwa na majonzi makubwa, baada ya mlinda mlango wa Klabu ya Kagera Sugar na mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa PAN, Abdallah Buruhan, David Buruhan kufariki dunia leo katika Hospitali ya Rufaa…
