The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

David Luhende

Luhende Amtisha Tshabalala Simba

BEKI wa pembeni wa Kagera Sugar, David Luhende, amekubali kukaa meza moja na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kujiunga na timu hiyo, huku akisema ana uhakika wa namba kwenye kikosi hicho.…