Fuse ODG wa Ghana Aja na ‘African Girl’ – Video Mpya
MSANII Nana Richard Abiona maarufu kama 'Fuse ODG' toka Ghana amekuja na video ya wimbo wake mpya wa 'African Girl' ambao amewashirikisha Kuami Eugen na Kidi.
Video imeongozwa na David Nicol-Sey
…
