DAVIDO: Najuta kujibu Meseji za DM
MSANII kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni ‘hitmaker’ wa nyimbo za If na Fall, Davido, amesema hatajibu tena meseji za DM baada ya kuzinguliwa na mtoto mmoja mrembo aliyejulikana kama Sheila.
Davido alikerwa na tukio hilo…
