Fahamu Maajabu 15 Ya Dawa Ya Meno Usiyoyajua
KWA kawaida tunazifahamu dawa za meno na tunatumia majumbani lakini pia zimezoeleka kuitwa kama dawa ya mswaki. Njia kuu moja wanayoifahamu watu wengi kuhusiana na dawa hizi ni kusafishia kinywa lakini imetambulika kwamba hakuna kiboko…
