Akamatwa Akisafirisha Madawa ya Kulevya, Atumia Dawa za Kienyeji Kuwakwepa Askari
JESHI la Polisi mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja anayesafirisha madawa ya kulevya aina mirungi katika jiji la Arusha.
Akitoa taarifa hiyo leo September Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishina wa…
