China Yazindua Uwanja wa Ndege Mkubwa Zaidi Duniani
NCHI ya China imezindua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Daxing, ambao ni mkubwa zaidi duniani ambao umegharimu zaidi dola bilioni 11 (Tsh trilioni 25.3).
Uwanja huo uliopo mjini Beijing ulizinduliwa rasmi na rais Xi Jinping, una…
