VIDEOMPYA: Dogo Janja Atoa Story Inayomhusu Demu Wake ‘Yente’
Dogo Janja ameileta video inayoongelea stori yake na demu wake kwenye mahusiano yao.
"YENTE ni story inayohusu Demu wangu alikuwa anaaombiwa na watu kuwa mwana ni miyeyusho, mwana hanakitu na mshikaji hukuzimii…
