Dayna Afungukia Kudanga Marekani
MWANA-DADA anayeki-mbiza kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna’ amefungukia madai kuwa, siku chache zilizopita alikwenda Marekani kudanga na kukana vikali juu ya ishu hiyo.
Akizungumza na Showbiz…
